Viwanja mbali mbali leo nyasi zake zitawaka moto wakati miamba kadhaa itakapokutana katika mapambano ya Ligi Kuu ya Uingereza, katika mechi za leo, ratiba inaonyesha kuwa Aston Villa itacheza na Arsenal, Burnley itacheza na Sunderland, wakati New Castle itacheza na Hull.
Mechi nyingine ni kati ya Swansea na Southamptom wakati West Ham itamenyana na Liverpool.
Liverpool itakuwa kibaruani leo
No comments:
Post a Comment