KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 16, 2014

MHE. ZITTO APATA MRITHI WAKE

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFgdu1wGW91v1VS4xdEjx5WQRbhztdAEZczTY3o9fHuW8M6usPlE2c2cnkH7G7btmhgECAxYdwykskLUyw2KBr6o0S9p-de_h4zlH2EmCXfRDm9VHKu5qIInK9frqMDsC8MCm8m0HQ7E4/s1600/DSC06434.JPG
Dkt. Wilbrod Slaa, John Mnyika pamoja na Salum Mwalim, wakiwa katika picha ya pamoja uchaguzi mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana usiku umefikia tamati kwa Kamati Kuu ya chama hicho kupata viongozi wake wa mwisho ambao ni Katibu Mkuu , Naibu Katibu Mkuu Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment