Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Magessa Mulongo, akikabidhi Ngao kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Georgia Mutagahywa, kwa kutambua mchango wao na jitihada za Vodacom kuhakikisha usalama barabarani. |
Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Georgia Mutagahywa, akiwa na Maofisa wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Magessa Mlongo, wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo imefanyika Kitaifa Mkoani Arusha, ambapo Vodacom Tanzania wamepewa tuzo ya kutambulika kwao katika mchango na jitihada za kuhakikisha usalama barabarani mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment