KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 19, 2014

TAMASHA LA MAGARI KUFANYIKA MWEZI HUU

Displaying 2.jpg
Mkurugenzi wa Kampuni ya JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy akizungumza  na Waandishi wa Habari kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 Septemba 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam ambapo pia mafundi wapatao 50 watatembelea Hospitali ya CCBRT kusaidia wanawake wenye Ugonjwa wa Fistula.Kushoto ni Mkurugenzi wa Josekazi Auto Garage Bw. Joseph Mgaya.


No comments:

Post a Comment