Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jowika Kasunga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa nyumba za kisasa za kupangisha za Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano (AICC) Arusha hivi karibuni
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga, akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), na wafanyakazi wa kituo hicho |
No comments:
Post a Comment