Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa (wa kwanza mbele, mkono wa kulia), akiwakaribisha Mawaziri wa zamani wa Kenya, Willium Ole Ntimanya (tai nyekundu kulia), na John Keen (kushoto), nyumbani kwake Monduli. Wanatarajiwa kuhudhuria semina maalum ya kimila katika Jimbo la Monduli.
No comments:
Post a Comment