KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 2, 2014

BAADA YA KUTOLEWA NA ESS ASANTE WA TP MAZEMBE AOMBA RADHI

ASANTE: "Apology to our fans ..."
Baada ya TP Mazembe kutolewa na Entente Sportive Setif  ya Algeria wachezaji wote walilia kwa uchungu Kwa dakika kadhaa ukimywa wa huzuni ulitawala katika chumba cha kubadilishia nguo....wa kwanza kuzungumza na vyombo vya habari alikuwa ni Mghana Solomon ASANTE ambaye aliwaambia Waandishi wa habari kwamba : 
"Wakati unaupenda mpira wa miguu , unategemea vitu vitatu ambavyo ni : kushinda, kutoa sare na kufungwa ,Katika kuwakabili   ESS, hatukuwa na bahati na kumbulia kutolewa . Inauma sana lakini huwezi kubabadili maamuzi ya Mungu .Ninawaomba wapenzi wetu ambao kwa gharama yoyote walipenda tufuzu wasikate tamaa. "                                             
Mbwana Samatta kushoto na Thomas Ulimwengu kulia wakiwa hoi baada ya kutolewa na ESS

No comments:

Post a Comment