Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kwenda jela kwa miaka mitano kwa mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp. Jaji Thokozile Masipa, akitoa hukumu hiyo mjini Pretoria, pia amempa kifungo cha nje cha miaka mitatu kwa shtaka la kufyatua silaha Pistorius amepelekwa moja kwa moja gerezani. |
No comments:
Post a Comment