Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. Abdalla
Ismail Kanduru akitoa tamko la kuwatunuku stashahada wahitimu wa Chuo
hicho katika Mahafali ya 21 yalifanyika Mbweni.
Wahitimu
wa Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar wakila kiapo cha utiifu mbele ya
mgeni rasmi Balozi Seif Ali Iddi katika mahafali ya 21 yaliyofanyika
chuoni Mbweni.![]() |
| Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar katika Mahafali ya 21 yaliyofanyika Chuoni Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Wa kwanza (kulia) ni Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na wa kwanza (kushoto) Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Dkt. Abdalla Ismail Kanduru. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar). |



No comments:
Post a Comment