KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 26, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI YAFANYIKA

3
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akimkabidhi Mama Dorcas Membe kitabu cha Mpango shirikishi wa Mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo Wazi jana na kumuomba kuwa Mlezi wa chama cha Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) ambapo ameahidi kushirikiana na chama hicho katika harakati za kukabiliana na Tatizo la Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi. kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Abdulhakim Bayakub.
6
Baadhi ya wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi waliojitokeza katika sherehe hizo za Maadhimisho ya ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani yaliyofanyika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) leo Jijini Dar es Salaam.
6B
Baadhi ya wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi waliojitokeza katika sherehe hizo za Maadhimisho ya ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani yaliyofanyika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) jana Jijini Dar es Salaam.                                                                                                                      


No comments:

Post a Comment