Mbunge
wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akimtaarifu Waziri wa Maliasili na
Utalii Lazaro Nyalandu juu ya adha wanayopata wananchi wa jimbo klake
wakati wakiiingia katika Zahanati ya tiba za Asili cha Ngarenanyuki
mkoani Arusha juzi , kutokana na tozo la pesa kupitia hifadhi ya Taifa
ya Arusha. Waziri Nyalandu aliamuru wananchi wanaohitaji kupata tiba
katika zahanati hiyo kupita bure hifadhini.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa na Mbunge wa Siha ambaye
ni Naibu waziri wa Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri wakikagua kitalu cha
miti katika shamba la mitiulioko wilayani humo juzi. Waziri Nyalandu
aliruhusu nguzo nza umeme kupita katika msitu huo ili kuwezesha wananchi
wa wilaya hiyo kupata umeme n akuondoa mgogoro uliozuia mradi huo kwa
muda mrefu.



No comments:
Post a Comment