Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu) Mazingira, Mhe. Ummy Mwalim, akipewa ufafanuzi zaidi na Meneja wa idara ya Mazingira Buzwagi, John Murray. |
Wajumbe wa Kamati ya Bunge na Mazingira, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Menejimenti ya mgodi wa Buzwagi, mbele ya Bwawa la kuhifadhi maji taka na sumu. |
No comments:
Post a Comment