KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 30, 2014

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA BWAWA LA KUZALISHA UMEME MEROWE NCHINI SUDAN


IMG_0179Ujumbe wa Tanzania ukisikiliza taarifa ya Mji wa Merowe kutoka kwa Inj. Mohamed Elsheikh. IMG_0245Mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Merowe IMG_0281Ujumbe wa Tanzania, viongozi wa Sudan na wataalam mbalimbali wa Bwawa la kuzalisha umeme la Merowe wakiwa katika picha ya pamoja katika bwawa hilo.
IMG_0300
Ndani ya jengo la bwawa la kuzalisha umeme la Merowe.
IMG_0078 
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Prof. Peter Msolla, wakiwa kwenye kiwanda cha nyama ya kuku wakiangalia utendaji na uendeshaji wake.
IMG_0146
Mjumbe wa Kamati, Prof. David Mwakyusa, akiangalia moja ya kifaa cha kisasa katika Hospitali ya Mji wa Merowe.

No comments:

Post a Comment