KAMPUNI YA KARIATI YAKABIDHI WAKULIMA MATREKTA MANNE LEO, JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kariati Matractor, Omary Kariati akimkabidhi fungua za
trekta Mwakilishi wa wakulima wa Kondoa, Karoli Lubuva, katika hafla ya
makabidhiano hayo, iliyofanyika leo.
Kariati akikata uatepe kuzindua makabidhiano ya treka
Kariati akiwapa maelezo kuhusu trekta husika kabla ya kuzikabidhi kwa wawakilishi wa wakulima hao leo
No comments:
Post a Comment