KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 24, 2014

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AFUNGA MAFUNZO ELEKEZI YA WATUMISHI WAPYA

unnamed 
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Barnabas Ndunguru, akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (hayupo Pichani), katika ufungaji wa mafunzo elekezi kwa watumishi wapya wa Wizara. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
unnamed2 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga, akiongea na baadhi ya Watumishi wapya wa Wizara katika ufungaji wa mafunzo elekezi yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaasa kuwa na maadili katika utendaji wao wa kazi.
unnamed3 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga, katikati akiongea na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana, Bw. Leonard Thadeo (kulia), na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni, Prof. Hermens Mwansoko (kushoto), mara baada ya kufunga mafunzo elekezi kwa watumishi wapya wa Wizara

No comments:

Post a Comment