KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 27, 2014

KAWAMBWA ACHANGISHA SILINGI MILIONI 35, UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglGzeE7VhIVeDp0ZMWsAHDbTY6ym4dNFFQ7JoguSirE9njn7PJ28RUajQD0iv0Jj7OBS-HMLroUw5A_xvtf1z0z-2pPMYpxc-FwwpD3r_1cWXf2N6uKqR_OXc9wsQBib7C0WroWydzEsE/s1600/1.jpg
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia), akikabidhiwa usinga, ukimtambulisha kama mzee wa jamii ya Kimasai (Laigwanani), na Askofu mteule wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini kati Mkoani Arusha, Solomon Masangwa (kushoto), wakati wa harambee ya ukarabati wa miundombinu ya shule ya Enaboishu.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEio0N9a3ztu3Z29ZhZ6WiHrBAz-bfBM1af_rhsvxRDVNnAv0_J_qHZyDGzOHqq0MJO33N1z-Zt6xu2Z31QbzETGGyYiu_w5OXA98i__qAvmsxuK1r-D_r8PjX3f9yAW33zmDnFaazu0lsE/s1600/7.jpg
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali na wafanyakazi wa Shule ya Enaboishu.

No comments:

Post a Comment