| Meneja Kiongozi wa NSSF Mwanza, Bw. Hamis Faki (katikati), akitoa hotuba ya kuhitimisha mbio za Rock City Marathon 2014, Mwanza. |
| Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Nchini, Suleiman Nyambui, akiwapa maelekezo wakimbiaji wa km 21, kabla ya mbio kuanza kwenye uwanja wa CCM Kilumba. |
![]() |
| Mratibu wa Mbio za Rock City Marathon 2014, kutoka kampuni ya Capital Plus International LTD (CPI), akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwitikio wa uliooonyeshwa mwaka huu. |



No comments:
Post a Comment