KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 28, 2014

MAADHIMISHO YA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA WA NBC YAZIDI KUNOGA

Displaying 01.JPG
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia), akizungumza na mteja wa benki hiyo, Job Mwakibinga, katika tawi la Mlimani City, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yanayoendelea ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja, ambapo maofisa wa benki hiyo hutembelea matawi mbalimbali na kuhudumia wateja.
Displaying 02.JPG
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa (katikati), akizungumza na mteja wa benki hiyo, Job Mwakibinga, katika tawi la Mlimani City, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja, ambapo maofisa wa benki hiyo hutembelea matawi mbalimbali na kuhudumia wateja. Kulia ni Mkuu wa Matawi ya NBC, Gaudence Shawa.
Displaying 03.JPG
Mkuu wa Matawi ya Benki ya NBC, Gaudence Shawa (kulia), akizungumza na mmoja wa mteja wa benki hiyo katika tawi la Mlimani City, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja ambapo maofisa wa benki hiyo hutembelea matawi mbalimbali na kuhudumia wateja.
Displaying 04.JPG
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto), akizungumza na mmoja wa wateja wa benki hiyo katika tawi la Mlimani City, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC.
Displaying 05.JPG
Baadhi ya wateja katika Tawil la NBC Mlimani City, wakipewa viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa. Ili kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja maofisa wa benki hiyo hutembelea matawi mbalimbali ili kuzungumza na kupata maoni ya wateja kuhusu ubora wa huduma wazipatazo.

No comments:

Post a Comment