KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 26, 2014

MAHAFALI SHULE YA SEKONDARI AIRWING UKONGA YAFANA

Mgeni rasmi kwenye mahafali ya 19 ya Shule ya Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, akizungumza na wahitimu wa Kiato cha Nne, wakati wa mahafali yao hayo, shuleni hapo leo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Shule, Meja Kisakeni Mlighite na kulia ni Mlezi wa Shule, LuteniKanali Mohamed Suleiman.

Walimu na wageni mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo, wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, wakati alipokuwa akizungumza katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.

No comments:

Post a Comment