KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 26, 2014

MIKOANI TRADER YASHIRIKI MAONESHO YA CHAKULA TMK

Ngongoti waliobuniwa na kuvalishwa nguo za Kampuni ya Mikoani (Azania), akigawa vipeperushi vya bidhaa za kampuni hiyo, viwanjani hapo, wakati wa siku ya mwisho ya maonesho ya maadhimisho hayo jana.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akiwapa maelezo wageni mbalimbali waliotembelea kwenye banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akionesha baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimkaribisha kwenye banda la kampuni hiyo, mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo.

No comments:

Post a Comment