KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 31, 2014

MHE. LILA AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE

PIX 1 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila, wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala ya Kifungo.  
PIX 2 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati), akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia). Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Fidelis Mboya.
PIX 3 
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia), akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

No comments:

Post a Comment