![]() |
| Baadhi ya watanzania waishio Polland, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mhe. Pinda (hayupo pichani), wakati alipokutana nao mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Sheraton Jijini Warsaw, Polland. |
![]() |
| Mhe. pinda, akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Polland, Bw. Steven Sambali, mara baada ya kukutana nao na kuwaeleza yanayoendelea nyumbani Tanzania. |




No comments:
Post a Comment