KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 28, 2014

MAHAFALI YA PILI YA WAMA NAKAYAMA


4
Msanii Vicky Kamata, akiimba wimbo wa kumpongeza Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA), kwa juhudi za kumkomboa mtoto wa kike kielimu, wakati wa mahafali ya pili Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA  Nakayama, iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, Wilayani Rufiji Mkoani Pwani yaliyofanyika jana.
5
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha  Rose Migiro (kulia), akimkabidhi cheti cha kuhitimu elimu ya sekondari mwanafunzi wa kidato cha nne kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA  Nakayama, iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, Wilayani Rufiji Mkoani Pwani, Ulizeni Ngonyani,  katika mahafali ya pili yaliyofanyika jana
6
Baadhi ya wahitimu  wa elimu ya sekondari  ya kidato cha nne kutoka  katika Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA Nakayama, iliyopo katika Kijiji cha Nyamisati, Wilayani Rufiji Mkoani Pwani, wakifurahia jambo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, wakati wa sherehe za   mahafali ya pili yaliyofanyika jana.
IMG_8872
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha  Rose Migiro (katikati), akizindua zahanati kwa  ajili ya matibabu ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira hatarishi ya WAMA  Nakayama.
IMG_8881
Wahitimu  wa elimu ya sekondari  ya kidato cha nne.

No comments:

Post a Comment