KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 28, 2014

MHE. PINDA AWASILI MUSCUT OMAN

unnamed 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyid Fahad Mahmoud Al Said,  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa  wa Kimataifa wa Muscat wa  Royal Airport,  kwa ziara ya siku mbili ya kikazi nchini humo Oktoba 27, 2014.
unnamed3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal  Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman. Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Oman Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said.
  unnamed4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman,  Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said.
 unnamed5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio Oman, baada ya kuwasili kwenye hoteli ya AL Bustan Palace, mjini Muscut, kuanza ziara ya siku mbili nchini humo.

No comments:

Post a Comment