KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 28, 2014

MAMA SALMA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA KOREA KASKAZINI,PAMOJA NA MAMA RACHEL RUTO

unnamed2 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Kaskazini, Bw. Kim Yong Nam. Mama Salma alikutana na kiongozi huyo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ulioko Nairobi tarehe 26.10.2014, akiwa njiani kurejea Dar es Salaam akitokea nchini China.
unnamed 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akisalimiana na Mke wa Naibu Rais wa Kenya, Mama Rachel Ruto, kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata mjini Nairobi tarehe 26.10.2014. Mama Salma alisimama kwa muda uwanjani hapo akiwa njiani kurejea nchini akitokea Beijing nchini China kwenye safari ya kikazi.

No comments:

Post a Comment