KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 25, 2014

BREAKING NEWS;MTU MMOJA AKAMATWA NA MABOMU MANNE ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar.

Mtu mmoja ambaye polisi hawataja jina lake amekamatwa na mabomu manne ya kivita ambayo imesemekana yametoka nje ya nchi.

Polisi wamesema kwamba mtu huyo aliingiza mambomu manne hapa nchini ambayo kati ya hayo mmoja lilitumika katika mauaji ya mtu mmoja eneo la darajani na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Polisi wanasema kwamba uchunguzi unaendelea na kwamba mtu huyo atafikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa.

Kamishina wa Polisi Zanzibar,Hamdan Omar Makame

No comments:

Post a Comment