KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 25, 2014

MWANDOSYA AMWAKILISHA JK ZAMBIA

unnamed
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu asiye na Wizara, Mhe. Mark Mwandosya, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kenya, Mhe William Ruto, wakati wa sherehe za kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Zambia Mjini Lusaka jana. Mhe. Mwandosya alimuwakilisha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe hizo.
  unnamed3 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu asiye na Wizara, Mhe. Mark Mwandosya (wa tatu kulia), pamoja na Mkewe Lucy Mwandosya, wakishiriki kuimba Wimbo wa Taifa wa Zambia. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Rais wa Zambia, Mhe Edgar Lungu, ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi, na wa  pili kulia ni Makamu wa Rais wa Nigeria Monance Namadi Sambo. 
 unnamed5 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu asiye na Wizara, Mhe. Mark Mwandosya,  na mkewe Lucy Mwandosya, wakisalimiana na Rais wa kwanza wa Zambia, Mzee Kenneth Kaunda. Mhe. Mwandosya alimuwakilisha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

No comments:

Post a Comment