Baadhi ya watendaji wa TANAPA, wakimsikiliza Waziri Nyalandu, alipotembelea hifadhi za Taifa za Arusha. Toka kulia ni Afisa Mawasiliano wa TANAPA, Pascal Shelutete, Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro, Erastus Rufunguro na Mhifadhi Mkuu Arusha National Park, Betrita Loibook. |
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto), akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe. Joshua Nassar, walipokutana katika hifadhi ya Taifa ya Arusha na kumshawishi kutembelea Hospitali ya Africa Amini Hearing Centre. |
No comments:
Post a Comment