![]() |
| Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Joseph Mlola, akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (asiye na Wizara maalum), Prof. Mark Mwandosya (wa pili kushoto), alimwakilisha Rais Kikwete, katika ibada ya kusimikwa Askofu huyo, iliyofanyika katika kanisa kuu katoliki, Kigoma. |



No comments:
Post a Comment