![]() |
| Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano UTT-AMIS, Daud Mbaga (aliyesimama kushoto), akitoa elimu ya uwekezaji wa pamoja kwa wakazi wa Mbeya waliotembelea maonyesho ya kitaifa ya Biashara kwenye ukumbi wa Mkapa, Soko la Matola. |
![]() |
| Ofisa Mafunzo UTT-AMIS, Mwanahamis Sakuru, akitoa elimu ya uwekezaji kwa wakazi wa Jijini Mbeya. |




No comments:
Post a Comment