KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 22, 2014

NMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wateja wa Nmb, Jeremia Mahenge akifungua mkutano wa umoja wa wateja wa NMB katika ukumbi wa RC Mwanelwa.

Meneja Mahusiano wa NMB Makao makuu, Dickson Pangamawe, akiwapa somo wateja wake
Mtaalamu wa Biashara ya kimataifa wa NMB makao makuu Alatunoze Sanga akitoa somo kwa wateja wa Nmb katika mkutano huo

Wateja wa NMB Mkoa wa Mbeya wakiwa makini kusikiliza somo
Afisa mikopo NMB Mbalizi Road HANCESON Kyambi akieleze sasa wanatoa mikopo ya bajaji na pikipiki kwa vijana

No comments:

Post a Comment