KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 30, 2014

SERIKALI YASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE FILAMU

unnamed 
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo, akiowaonyesha mabango ya filamu za Tanzania wageni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (hawapo pichani), walipotembelea ofisi za Bodi hiyo ili kujifunza namna ya Uendeshwaji wa Bodi ya Filamu jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Bw. Silyvester Sengerema.
unnamed2 
Kutoka kushoto ni Afisa Mult Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA), Bi. Jacquline Kinyanjui, Afisa Mult Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya, Bi. Mercy Tepla, na Afisa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. George Charles, wakisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa Bodi ya Filamu Tanzania, walipotembelea ofisi za Bodi hiyo jana Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment