Wasanii
wa kikundi cha Ngoma cha Manyara Group Mkoani Arusha, kikiwapa burudani
wakazi wa mkoa huo, waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid
mwishoni mwa wiki, kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack.
Kampuni ya
Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa
Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na
pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa
shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Wasanii wa kikundi cha Original Komedi, kikiwapa burudani wakazi wa Mkoa
wa Arusha.
Msanii Ibrahim Mussa Maarufu Roma Mkatoliki, akiwapa burudani wakazi wa Mkoa wa Arusha.
Meneja
wa mauzo wa Tigo Mkoani Arusha, Bw. Aidan Komba, akiongea na wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha kubwa la Tigo welcome pack.
Msanii
Joseph Haule maarufu kama Professor J, akiwapa raha wakazi wa Mkoa wa
Arusha.
Mmoja kati ya watu waliojitokeza kwenye tamasha la welcome pack, akipokea zawadi toka kwa mfanyakazi wa Tigo.







No comments:
Post a Comment