KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 20, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AMWAKILISHA RAIS KIKWETE KWENYE MJADALA WA UWEKEZAJI

2a 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 201014.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7a 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  Barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto), baada ya kuzungumza  katika mjadala huo kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. Wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais John  Mahama wa Gahana na Rais Paul Kagame wa Rwanda.
6a 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  Barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto),  baada ya kuzungumza  katika mjadala huo.Wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda  na Rais Paul Kagame wa Rwanda.
4A 
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia), na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Peter Kallage,  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  Barani Afrika.
1a 
Naibu Mawaziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kushoto), Dkt. Charles Tizeba, wa Uchukuzi (katikati) na Mahadhi Maalim wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  Barani Afrika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment