Mkuu
wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema akiwakaribishia wakaguzi wa
timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango ilipofika ofisini kwake. Mkuu
wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema akiwakaribishia wakaguzi wa
timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango ilipofika ofisini kwake. Kiongozi wa timu
ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango, Bibi Florence (Mbele) akiwaongoza wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa
miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kupanda boti
ili kwenda kushuhudia lango la kuingilia Gati la Bandari ndogo ya
Itungi. Itungi ni bandari ya kipekee nchini kujengwa mtoni.
No comments:
Post a Comment