KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 27, 2014

PICHA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA JANA


Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akizugumza na Mbunge wa Viti Maalum Rachel Mashishanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana Novemba 26, 2014.


Mwenyekiti wa Bunge, Mh. Mussa Azan Zungu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakati alipositisha kikao cha Bunge cha asubuhi jana  Novemba 26, 2014.


Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urambo, Mh. Samuel Sitta (katikati) akizungumza na baadhi ya wabunge wa Upinzani, Bungeni mjini Dodoma jana  Novemba 26, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment