KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 2, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE

unnamed
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es Salaam ljana  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo
unnamed5
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya marehemu  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jana,  mwili huo utasafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo
unnamed4
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiifariji familia ya marehemu  wakati wa kuaga mwili wa marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es Salaam jana  mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo.
unnamed2
Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jana kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo                              

No comments:

Post a Comment