KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 26, 2014

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ATUNUKIWA TUZO YA UZAMIVU

   Mkapa akimsalimia Askofu wa jimbo la Njombe, Alfred Maluma kwa heshima ya juu zaidi.
     Hapa ni baada ya kuzindua jengo la Benjamin Mkapa, la chuo hicho....
NA FRANK KIBIKI
RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa amepewa shahada ya heshima ya uzamivu katika sheria ya chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT).
Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika  mahafali ya saba ya chuo hicho, tawi la Ruaha (RUCO), amepatiwa shahada hiyo ikiwa ni jitihada za kutambua mchango wake katika masuala ya kielimu wakati akiwa Rais.
Akizungumza katika mahafali hayo, Mkapa alishukuru kwa tuzo hiyo.
Awali Mwenyekiti wa baraza la chuo hicho, Mhashamu Askofu wa jimbo la Njombe, Alfred Maluma alisema chuo hicho kinamchukulia Mkapa kama mzazi, kuwa ndiye msingi wa kuundwa kwake.

No comments:

Post a Comment