KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 23, 2014

AJALI YAUA SITA MBEYA


Watu tisa kati yao wanaume saba na wanawake wawili wamefariki dunia baada ya gari waliokuwa wakisafiria lenye namba za usajili t.203 ARZ aina ya Toyota Coaster lililokuwa likiendeshwa na dereva John Emanuel (36) mkazi wa Mlowo-Mbozi likiwa linatokea mjini Mbeya kwenda Tunduma wakati akijaribu kulipita gari lenye namba T.789 AZL/T.123 AXV aina ya Tata truck eneo ambalo kuna mlima na mbele yake kuna kona lilitokea gari T.903 CVF aina ya tata basi hivyo dereva wa coaster kulazimika kuingia mbele ya lori alilokuwa analipita na kugongwa ubavuni upande wa kushoto pia kugongwa upande wa kulia na basi aina ya TATA .

No comments:

Post a Comment