KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 21, 2014

DIAMOND AMPA TANO JOKATE KWA KUINGIA MKATABA NA WACHINA

Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…

“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa watu halafu ukatutolee maruerue! utegemee support yetu ..” – Diamond Platnumz
Wewe una maoni gani?
Bongo Movies

No comments:

Post a Comment