KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 20, 2014

JALI MBAYA YATOKEA MAFINGA LEO HII


 Ajali mbaya imetokea msitu wa miti wa Mafinga Iringa mchana huu. Kwa mujibu wa habari zilizotufikia aliyepoteza maisha ni Yunith Gwamaka Mwakenja ,majeruhi ni Dereva wa gari hilo ambaye nu mhadhiri wa chuo cha Tumain makumira Tawi la Mbeya Bw Gwamaka Mwakenja  pia  majeruhi mwingine ni Joyce Fredy. Wengine wametibiwa na kuruhusiwa. Chanzo inasadikika kuwa ni mwendo kasi na gari kuacha njia  kwa sababu ambazo bado hazijajulikana na kupinduka
.



No comments:

Post a Comment