KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 20, 2014

MAKALLA ATEMBELEA MRADI WA MAJI KANDA YA KASKAZINI



Naibu waziri maji Mhe. Amos makalla akipata maelezo ya ujenzi wa tanki la maji mradi wa Boro-Masoka kutoka kwa mhandisi maji Moshi injinia Brown Lyimo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji kanda ya Kaskazini. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga
Naibu  Waziri wa maji  Mhe. Amos Makalla akiangalia ramani ya mradi wa maji Boro - MasokaNaibu Waziri wa  maji   Mhe. Amos makala akikagua chanzo cha maji cha Mananga cha mto Ghona,

No comments:

Post a Comment