Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi
vinavyosimamiwa na WAMA katika wilaya ya Kinondoni (UWAMAKI), Ndugu
Christina Emmanuel wakati alipowasili kwenye Chuo cha Usafirishaji kilichoko eneo la Ubungo kwa ajili ya ufunguzi wa umoja huo tarehe 18.12.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake
mara baada ya kuzindua rasmi Umoja wa vikundi vya WAMA katika Wilaya ya
Kinondoni katika sherehe zilizofanyika katika Chuo Cha Usafirishaji
kilichoko eneo la Mabibo tarehe 18.12.2014. Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiangalia baadhi ya
kazi zinazofanywa na wanavikundi wa UWAMAKI mara baada ya kuwasili
kwenye sherehe ya uzinduzi wa vikundi hivyo
No comments:
Post a Comment