KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 17, 2014

VIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR


 Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali  (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam. Kushoto ni Lilian Erasmus Ofisa wa Idara ya TBL ya Mauzo na Usambazaji.

No comments:

Post a Comment