![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakishiriki ujenzi wa tuta la kuzuia maji chumvi katika bonde la Mpunga la Koowe Wingwi Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba , kulia ni Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Ndugu Omar Khamis Othman |
![]() |
| Balozi Ali Karume naye akishiriki katika ujenzi wa tuta hilo katikati ni Bw. Mbaruk Ali Mgau Afisa Imkuu Idara ya Umwagiliaji Mkoa wa Kaskazini Pemba. |
![]() |
| Moja ya malori yanayopeleka kifusi katika ujenzi wa tuta hilo likiwa limekwama kando ya tuta hilo |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Dr.Rashid Daud Mkasha Mganga Mkuu wa Wilaya ya Micheweni mara baada ya kuwasili katika hospitali ya wilaya ya Micheweni wa pili kulia ni Dr. Omar Makame Khamis Daktari mdhamini wa hospitali hiyo |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Dr.Rashid Daud Mkasha Mganga Mkuu wa Wilaya ya Micheweni wakati alipokuwa akikagua ukarabadi wa wodi katika hospitali hiyo. |








No comments:
Post a Comment