![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi majiko yaliyotengenezwa tayari katika kijiji cha Chanjaani Shehia ya Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mabwawa ya kufugia samaki ya kikundi cha kikundi cha Ushirika Cha ufugaji wa Samaki na Uhifadhi wa Mazingira Gando Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba |
![]() |
| Vijana wakitengeneza maseredani majiko ya udongo katika kijiji cha Chanjaani shehia ya Ukunjwi katika jimbo la Gando. |






No comments:
Post a Comment