DKT SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI KUTOKA UINGEREZA
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein
alipokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika jana katika ukumbi wa
Breezes Hotel Bwejuu Mkoawa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingerezamkutano
huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi
wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini
Unguja jana.

Unguja jana,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment