KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 21, 2015

NBC YAMWAGA MILIONI 62 KUSAIDIA MRADI WA USIMAMIZI WA TAKA

Displaying 01.JPG
Meneja Miradi wa Envirocare, Bw Isreal Richard (kulia) akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja ya mradi wa majaribio wa usimamizi wa taka kwa utunzaji mazingira na ustawi wa jamii jijini Dar es Salaam leo. Mradi unaendeshwa na Envirocare kwa ufadhili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).
Displaying 02.JPG
Ofisa Afya Mazingira wa Manispaa ya Kinondoni, Kawa Kafuru (kulia) akizungumza na washiriki wa semina hiyo.
Displaying 05.JPG
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakiweka kumbukumbu za mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa.                                                                                                                                                            

No comments:

Post a Comment