KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 21, 2015

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPEWA ELIMU JUU YA HAKI ZA JINSIA

Displaying 003.JENDA.jpg
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia mafunzo ya masuala ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi   Dawati la Jinsia Mkoa  wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani)
Displaying 001.SEMINA.jpg
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi   Dawati la Jinsia Mkoa  wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisikilizwa kwa makini na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa mafunzo ya jinsia kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi  wake  iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
Displaying 002.semina.jpg
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Esther Mattle akimuuliza swali Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi   Dawati la Jinsia Mkoa  wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, wakati wa semina ya masuala ya jinsia iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi  iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.                                                                                                                                                                                 

No comments:

Post a Comment