Dk Hellen Bisimba
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),kimelaani kitendo cha polisi kuwapiga wanachama wa CUF akiwamo pia Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba na kusema kwamba wamekuwa wakitoa mafunzo mbalimbali kwa jeshi hilo jinsi kukabiliana na raia inapotokea vurugu,


No comments:
Post a Comment